YAFAHAMU MADHARA YA PUNYETO NA NAMNA YA KUBORESHA NGUVU ZA KIUME.
Watu wengi sana wanataka kufahamu jinsi gani wafanye ili kuachana na kitendo cha upigaji punyeto.
Punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au msisimko ambao unampelekea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake katika picha za zinazoitwa za ngono au picha zozote zinazoweza kulifanikisha tendo hilo, movie n.k. Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake mwenyewe!. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wanaosema wameelimika wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga punyeto! Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa kwamba "kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu" Ina maana katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya mwanadamu.
Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto. Aslimia 60 ya vijana wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 30 wameathirika na tatzo hili (chronic masturbation) na inakuwa ngumu kujinasua kutoka kwenye hili janga, kama wewe ni mmoja wapo na ulkuwa ukitafuta kwa mda mrefu ufanye nini ili uachane na tabia ya kupiga punyeto basi fatilia kwa makini makala hii.
MADHARA YA UPIGAJI PUNYETO KWA MWANAUME;
Haya ndio baadhi ya madhara ya kimwili ambayo yanaletekezwa na upigaji punyeto
1. PUNYETO INAUA NGUVU ZA KIUME:
2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO NA KUSINYAA KWA MAUMBILE YA UUME
Mara nyingi mtu aliezoea kupiga punyeto huwahi kumaliza mapema pindi akiwa anafanya tendo la ndoa na wakati mwingine uume hushindwa kusimama kwa mara ya pili na kujikuta anashindwa kurudia tendo ikiwa mwenzake bado hajaridhika na anahitaji kuendelea kufanya tendo hilo.
Athari nyingine ni kama zifuatazo
3.Uchovu wakati wote / Fatigue. Feeling tired all the time.
4.Maumivu ya nyonga / Lower back pain.
5.Kusinyaa kwa Nywele / Nywele kunyonyoka / Thinning hair / Hair Loss
6.Maumivu ya kende
7.Maumivu ya kiuno
Hayo ni baadhi ya nukuu zangu!
Kuna faida nyingi sana ambazo utazipata endapo utaachana na tabia ya upigaji punyeto na hiyo napenda iwe sababu ya wewe msomaji kuachana hicho kitendo.
Kuacha punyeto ama mtindo flani wa maisha inahitaji utambuzi, uamue na pia uweze kujicontrol wewe mwenyewe, inahitaji nguvu ya ndani yako kushinda vishawishi , zifuatazo ni njia ambazo utaanza kutekeleza ukiwa nyumbani kwako bila gharama yoyote na zitaanza kukupa matunda, lazima uwe mwaminifu kufuata kile ninachoelekeza maaana ni njia ambayo imewasaidia vijana wengi.
1.PATA MDA MWINGI WA KUPUMZIKA
Baada ya shuguli za kawaida haikisha unapata mda wa kupumzika, lala mapema ili uweze kuipa akili mda wa kuchambua na kutunza taarifa za muhimu na kufuta zile ziszo za muhimu. Hakikisha unalala mapema hapo ndipo utaongeza uwezo wa akili kuweza kupambana na hisia na mawazo mabaya.
2. MATUMIZI YA MBOGAMBOGA NA MATUNDA KWA WINGI
Utafiti wa kisayansi unaonesha kwamba matumizi mazuri ya vyakula vya mbogamboga na matunda Husaidia kuongeza uwezo binafsi wa kujisimamia juu ya tamaa na mihemko mbalimbali, matumizi ya vyakula vilivyosindikwa (junk foods) ni chanzo cha kushindwa kujizuia na hapo safari yako ya kuachana na upigaji punyeto itakwama.
3. FANYA MAZOEZI NA USHUGULISHE MWILI
Maozezi yanasaidia mwili kutofikiria kufanya mambo machafu sababu mara nyingi unakuwa bize, akili inapokuwa inashugulishwa basi uwezekano wa kuleta fikra mbaya ni mdogo sana
4. ACHA KUANGALIA PICHA ZA NGONO
Tafiti zinasema kwamba vijana wengi wenye umri kuanzia miaka 15 mpaka 30 ndo kundi kubwa lililoathirika kwa kutazama picha za pono, piacha au video za ngono huleta msukumo kwenye akili ili kuweza kujiridhisha na hivo hupelekea watu kupiga punyeto ili kukata ile kiu ya tamaa zao za mwili.
SULUHISHO KWA MTU ALIYEATHIRIKA NA UPIGAJI PUNYETO WA MUDA MREFU:
Athari za kujichua mara nyingi hujitokeza kwa hali ya kutofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine.
Kuna baadhi ya watu huweza kuanza kuona athari zake mapema zaidi na baadhi yao huchelewa.
Hivyo basi kwa mtu ambaye tayari ameshaathirika na tatizo hili supplements hii ya FOREVER MULTI MACA itamsaidia katika kuondokana na tatizo hili, Itakusaidia katika kuondokana na athari zifuatazo.
= MISHIPA YA UUME KUREGEA
= KUWAHI KUMALIZA TENDO / KUFIKA KILELENI MAPEMA
= UUME KUSINYAA MAPEMA KATIKATI YA TENDO AU BAADA YA KUMALIZA TENDO
= KUKOSA HAMU YA TENDO NA UPUNGUFU WA MBEGU.
Utaipata sehemu yoyote Tanzania na nje ya Tanzania.
BONYEZA HAPA CHINI KUCHATI NA MSHAURI WETU KUPATA FOREVER MULTI MACA.
BONYEZA HAPA KUCHATI NA MSHAURI WETU WHATSAPP .
JE WEWE NI MWANAUME NA UNAPATA CHANGAMOTO KATIKA MFUMO WA UZAZI.
FAHAMU KUHUSU MALE FERTILITY KIT YA KUBORESHA NGUVU ZA KIUME NA MFUMO WA UZAZI KWA MWANAUME.
Je wafahamu vyakula na vinywaji tunavyotumia sasa vimekuwa na changamoto sana kiafya na kusababisha matatizo mbali mbali katika mwili ikiwemo Organ zetu za uzazi?
Mara nyingi huwatokea wanafamilia wengi either Baba au Mama kukosa hamu ya tendo la ndoa au kama ni mwanaume kushindwa kabisa kumrithisha mwenzi wake, sasa wengine huanza kudhani labda kuna ushirikina ndani yake kumbe ni mfumo tu wa uzazi umeathiriwa na uwepo wa sumu,Magonjwa au baadhi ya vitu kutokuwa sawa katika mwili,
Hivyo basi kutokana na changamoto hizo na waweza kutumia programu hii ya afya ya uzazi ya MALE FERTILITY KIT.
1.Huongeza hamu ya mapenzi, stamina na nguvu.
2.Husaidia kuondoa depression - (msongo wa Mawazo)
3.saidia kuondoa madhara ya mvurugiko wa homoni na kusikia joto kali na kuchoka wakati wa tendo
4.Hurutubisha mayai/mbegu
5.Inaongeza idadi ya mbegu za kiume ,na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri.
6.Inaweka sawa kiwango cha chuma Kwenye damu.
7.Inasaidia kupromote matumizi ya glucose Kwenye damu kubadilishwa kuwa nguvu na si kugeuzwa kuwa mafuta.
8: Ni bidhaa bora ambayo husaidia katika kuondoa changamoto ya mwanaume kuwa kufika kileleni mapema na kutorudia tendo.
9: Huboresha misuli ya usafirishaji mbegu ya uume na kuifanya kuwa imara hasa kwa walioathirika na changamoto ya kujichua kwa mda mrefu.
10: Huboresha tatizo la kusinyaa kwa uume na kutorudia tendo.
11: Husaidia kuondoa athari za kujichua kwa mda mrefu na kukufanya kuwa imara zaidi.
12: Huboresha mfumo wa mzunguko wa damu na kuondoa mafuta mabaya katika mishipa ya damu
Hii programu ni mahususi katika kuboresha mfumo mzima wa Afya ya Uzazi
Pia kwa Mwanaume mwenye Tatizo la kutosababisha ujauzito yafaa kuitumia program hii itamsaidia katika kuondokana na tatizo hilo lote.
Virutubisho hivi vimeidhinishwa na taasisi zote zinazo husika na uhakiki wa vyakula na dawa ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania.
PATA FULL BEDROOM PACKAGE YENYE;
ARG+, MULT MACA & VITOLIZE MEN.
SPECIAL BEDROOM PACKAGE HII INAPATIKANA KWA Sh. 366,000 Tuu.
UTAKAE PATA PACKAGE HII UTAPATA VITU VIFUATAVYO BURE;
🔹MWONGOZO WA MAZOEZI YA KUIMARISHA MISULI YA UUME INAYO SINYAA AU KULEGEA.
🔹MWONGOZO WA LISHE BORA KWAAJILI YA TEZI DUME NA MATATIZO YA KORODANI (NGIRI / HERNIA).
🔹 MWONGOZO WA MAZOEZI YA KUPUNGUZA UZITO.
🔹 MWONGOZO WA VYAKULA NA MATUNDA KWA MWENYE TATIZO LA NGUVU ZA KIUME
🔹 MWONGOZO WA LISHE BORA KWAAJILI YA KUONDOA MAUMIVU YA MGONGO, KIUNO, MAGOTI NA KUMBUKUMBU.
Programu hii waweza kuipata sehemu yoyote ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania.
KUIPATA PROGRAMU HII BONYEZA MAANDISHI YA BLUE HAPA CHINI YATAKUUNGANISHA NA MSHAURI WETU MOJA KWA MOJA KATIKA WHATSAPP.
BONYEZA HAPA KUWASILIANA NA MSHAURI WETU WHATSAPP
Tunapatikana;
Victoria Makumbusho,
Dar es salaam (HEAD QUARTERS)
TANZANIA.
MAWASILIANO.
+255716789967
Axante kwa Elimu mubarikiwe
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
DeleteHi dawa naeza pata wapi huku Kenya kakagu
DeleteDah! Hakika nashukur Kwa ushauri wenu Mzuri mungu awatangulie
ReplyDeleteAsantwni sana
ReplyDeleteMe2 nawashukuru
ReplyDeleteAsante kakagu
ReplyDelete