YAFAHAMU MADHARA YA KUWA NA UZITO MKUBWA NA JINSI YA KUTHIBITI KWA NJIA ASILI.
Shirika la Afya Duniani (WHO), limeonya kuhusu ongezeko la watu wenye unene wa kupitiliza, huku wakitaja hiyo kuwa ni sababu kuu ya kuwapo kwa watu wengi wenye maradhi ya moyo, kisukari na ini.
Pamoja na watu hawa kuhitaji kufanya mazoezi ili kupunguza uzito wa miili yao, wataalamu wa chakula na lishe wanashauri kufanya mazoezi, kula vyakula kulingana na kundi lako la damu na aina ya vyakula unavyopaswa kula.
NAMNA YA KUPIMA UZITO WAKO.
Je unafahamu BMI yako?
Body Mass Index (BMI) ni kipimo kinachotumia urefu na uzito wako kujua Kama una uzito sahihi unaotakiwa kiafya.
Kujua kipimo ya BMI unachostahili kuwa nacho ,unachukua herufu wako kwa kipimo cha mita
*urufu kwa mita *24.9
Ikiwa BMI yako ni:
* Chini ya 18.5- una underweight.
* Kati ya 18.5 na 24.9 - una uzito sahihi kwa afya .
* Kati ya 25 na 29.9 - una overweight.
* Kutoka 30 Na zaidi -una uzito uliopitiliza.
MADHARA YA KUWA UZITO MKUBWA
Ukiwa na uzito mkubwa madhara yafuatayo huweza kujitokeza;
1.Matitizo kwenye figo
2.Uwepo wa michirizi
3.Kupunguza hamu ya tendo la ndoa
4.Kuharibu mfumo mzima wa upumuaji
5.Kuharibu ini
6.Hupelekea uwezekano wa kupata kisukari,tatizo la presha na kwenye guot.
7.Hupelekea changamoto kwenye mfumo wa moyo
8.Hupelekea kuleta shida kwenye mfumo wa ubongo
9.Hupunguza kasi ya kuishi
10.Huleta shida kwenye mmeng\"enyo wa chakula
11.Maumivu kwenye viungo kama vile magoti,kiuno nk
12.Kuongeza kiwango cha mafuta mwilini.
SULUHISHO LA KUDUMU
Programu ya kwanza inaitwa "Detox Pack" . Programu hii hufanywa kwa mda wa siku tisa ambazo kazi yake kubwa ni kusafisha mwili na kuuandaa mwili.
Faida ya kutumia Detox pack,
-Inaboresha kinga ya mwili
-Husaidia kuweka homoni sawa sawa.
-Virutubisho zinakuwa zinanyonywa vizuri mwilini
-Inakufanya upate usingizi mzuri
--Inasadia kuweka sawa mmeng’enyo wa Chakula.
-Inapunguza kasi ya uzee
-Inakupa nguvu ya kutosha
-Inasadia ubongo kufanya kazi vizuri
-Inaondoa uvimbe wa ndani na nje.
FAIDA ZINGINE ZA KUTUMIA DETOX PACK
🔶Inachukua siku tisa.
🔶Huondoa taka mwilini .
🔶Inakufanya ujisikie active.
🔶Inasafisha ngozi yako.
🔶 Hupunguza Kg kidogo za mwili kwa sababu ya sumu.
🔶 Haina madhara yeyote.
🔶Inatumiwa na watu wa rika zote
Program hii ni muhimu sana kwa watu wa rika zote hasa katika kuimarisha kinga ya mwili na kuongeza vitamini mwilini. Matokeo yanaweza kutofautiana.
KITAMBI
Kwa akinadada hili limekua Tatizo kubwa kwa Dada wengi sasa
#KAKITAMBI ". Kanamfanya Msichana akose Confidence na mwili wake, pia anakua Uncomfortable kuvaa Top Fupi au Skinny Top.
Utofauti wa programu yetu na program zingine.
Baada ya kutumia Detox pack utaendelea na programu ya pili ya kupunguza uzito kama utapendelea kupunguza uzito zaidi. Baadhi ya watu waliopungua uzito.
Hivyo basi kwa wenye changamoto hii Kampuni tumewaandalia program maalamu na virutubisho muhimu . Bidhaa hizi ni vyakula, siyo dawa wala mitishamba.
Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza yenyewe afya bora na nadhifu.
Hizo bidhaa zina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo: Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals .
Pia Program zetu za lishe zimethibitishwa na mashirika ya kuthibiti ubora wa viwango vya bidhaa duniani.
Na kwa hapa Tanzania, zimethibitshwa na mamlaka ya chakula na madawa (TFDA). Hivyo ni salama kwa mtumiaji yeyote.
Tunapatikana Victoria,dar es salaam (HEAD QUARTERS)
Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kudetox na ushauri wa kuimarisha afya wasiliana na mtaalamu wetu ili kupata mafunzo zaidi kuhusiana na afya ya kupunguza uzito.
JIUNGE NA WHATSAPP GROUP YETU MOJA KWA MOJA KUPATA MWONGOZO ZAIDI JUU YA KUPUNGUZA UZITO KWA NJIA ASILI NA SALAMA.
BONYEZA LINK HII KUJIUNGA.
https://chat.whatsapp.com/FiFRzx5yKiK0AacwIHCMYE
MAWASILIANO YETU NI
+255716789967
CALLS, TEXTS AND WHATSAPP.
Comments
Post a Comment