Posts

ONDOA KABISA TATIZO LA MISULI YA UUME KUSINYAA, KULEGEA, KUKOSA HAMU TENDO NA KSHINDWA KURUDIA TENDO KWA NJIA HII...

Image
Wanaume wengi wanaopata changamoto hii hawajui hili jambo la uume kusimama legevu au kusimama na kunywea tena linatokana na nini.  Ili uume usimame kuna vitu vingi inabidi viwe sawa katika mwili wako. Kwanza kabisa mfumo wa hisia zako inabidi uwe sawa. Pili mfumo wa fahamu. Tatu, mfumo wa mzunguko wa damu mwilini uwe sawa kwani uume husimama tu baada ya damu kukimbilia kwenye uume kufuatia mtu kusikia hamu ya tendo la ndoa, hivyo hapo function ya moyo pia inabidi iwe very intact. Lakini pia ili hamu ya tendo ije inabidi mfumo wa hormones za mwili wako uwe sawa yaani ziwe katika uwiano sawa. Mfano kuna hormone inayochochea wewe usikie hamu ya tendo la ndoa, hiyo hormone kama ipo katika kiwango cha chini basi utasikia hamu kwa mbali sana au hakuna kabisa, hivyo uume nao hautopata mawasiliano ya kupokea damu inavyotakiwa kwahiyo utasimama kwa ulegevu au kutosimama kabisa. Lakini pia ili uume ufanye kazi vizuri hasa wakati wa tendo inabidi mfumo wako wa misuli uwe vizuri. Nk nk. Hayo ni

YAFAHAMU MADHARA YA PUNYETO NA NAMNA YA KUBORESHA NGUVU ZA KIUME.

Image
MADHARA YA UPIGAJI PUNYETO, NAMNA YA KUEPUKA; Watu wengi sana wanataka kufahamu jinsi gani wafanye ili kuachana na kitendo cha upigaji punyeto. Punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au msisimko ambao unampelekea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake katika picha za zinazoitwa za ngono au picha zozote zinazoweza kulifanikisha tendo hilo, movie n.k. Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake mwenyewe!. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wanaosema wameelimika wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga punyeto! Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa kwamba "kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu" Ina maana katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya mwanadamu. Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto. Aslimia 60 ya vijana weny

YAFAHAMU MADHARA YA KUWA NA UZITO MKUBWA NA JINSI YA KUTHIBITI KWA NJIA ASILI.

Image
Shirika la Afya Duniani (WHO), limeonya kuhusu ongezeko la watu wenye unene wa kupitiliza, huku wakitaja hiyo kuwa ni sababu kuu ya kuwapo kwa watu wengi wenye maradhi ya moyo, kisukari na ini. Pamoja na watu hawa kuhitaji kufanya mazoezi ili  kupunguza uzito wa miili yao, wataalamu wa chakula  na lishe wanashauri kufanya mazoezi, kula vyakula kulingana na kundi lako la damu na aina ya vyakula unavyopaswa kula. NAMNA YA KUPIMA UZITO WAKO. Je unafahamu BMI yako? Body Mass Index (BMI) ni kipimo kinachotumia urefu na uzito wako kujua Kama una uzito sahihi unaotakiwa kiafya. Kujua kipimo ya BMI unachostahili kuwa nacho ,unachukua herufu wako kwa kipimo cha mita *urufu kwa mita *24.9 Ikiwa BMI yako ni: * Chini ya 18.5- una underweight. * Kati ya 18.5 na 24.9 - una uzito sahihi kwa afya . * Kati ya 25 na 29.9 - una overweight. * Kutoka 30 Na zaidi -una uzito uliopitiliza. MADHARA YA KUWA UZITO MKUBWA Ukiwa na uzito mkubwa madhara yafuatayo huweza kujitokeza; 1.Matitizo kwenye figo 2.Uwepo wa