YAFAHAMU MADHARA YA KUWA NA UZITO MKUBWA NA JINSI YA KUTHIBITI KWA NJIA ASILI.
Shirika la Afya Duniani (WHO), limeonya kuhusu ongezeko la watu wenye unene wa kupitiliza, huku wakitaja hiyo kuwa ni sababu kuu ya kuwapo kwa watu wengi wenye maradhi ya moyo, kisukari na ini. Pamoja na watu hawa kuhitaji kufanya mazoezi ili kupunguza uzito wa miili yao, wataalamu wa chakula na lishe wanashauri kufanya mazoezi, kula vyakula kulingana na kundi lako la damu na aina ya vyakula unavyopaswa kula. NAMNA YA KUPIMA UZITO WAKO. Je unafahamu BMI yako? Body Mass Index (BMI) ni kipimo kinachotumia urefu na uzito wako kujua Kama una uzito sahihi unaotakiwa kiafya. Kujua kipimo ya BMI unachostahili kuwa nacho ,unachukua herufu wako kwa kipimo cha mita *urufu kwa mita *24.9 Ikiwa BMI yako ni: * Chini ya 18.5- una underweight. * Kati ya 18.5 na 24.9 - una uzito sahihi kwa afya . * Kati ya 25 na 29.9 - una overweight. * Kutoka 30 Na zaidi -una uzito uliopitiliza. MADHARA YA KUWA UZITO MKUBWA Ukiwa na uzito mkubwa madhara yafuatayo huweza kujitokeza; 1.Matitizo kwenye figo 2...