Posts

Showing posts from August, 2021

ONDOA KABISA TATIZO LA MISULI YA UUME KUSINYAA, KULEGEA, KUKOSA HAMU TENDO NA KSHINDWA KURUDIA TENDO KWA NJIA HII...

Image
Wanaume wengi wanaopata changamoto hii hawajui hili jambo la uume kusimama legevu au kusimama na kunywea tena linatokana na nini.  Ili uume usimame kuna vitu vingi inabidi viwe sawa katika mwili wako. Kwanza kabisa mfumo wa hisia zako inabidi uwe sawa. Pili mfumo wa fahamu. Tatu, mfumo wa mzunguko wa damu mwilini uwe sawa kwani uume husimama tu baada ya damu kukimbilia kwenye uume kufuatia mtu kusikia hamu ya tendo la ndoa, hivyo hapo function ya moyo pia inabidi iwe very intact. Lakini pia ili hamu ya tendo ije inabidi mfumo wa hormones za mwili wako uwe sawa yaani ziwe katika uwiano sawa. Mfano kuna hormone inayochochea wewe usikie hamu ya tendo la ndoa, hiyo hormone kama ipo katika kiwango cha chini basi utasikia hamu kwa mbali sana au hakuna kabisa, hivyo uume nao hautopata mawasiliano ya kupokea damu inavyotakiwa kwahiyo utasimama kwa ulegevu au kutosimama kabisa. Lakini pia ili uume ufanye kazi vizuri hasa wakati wa tendo inabidi mfumo wako wa misuli uwe vizuri. Nk nk. Hayo...